NACTE yavifutia usajili vyuo 5 nchini, 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo na 175 vapewa notisi ya kushushwa hadhi.
NACTE yavifutia usajili vyuo 5 nchini, 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo na 175 vapewa notisi ya kushushwa hadhi.
Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa vyuo 5
vimefungwa kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi
nchini.
Pia Baraza limetangaza kuwa vyuo
41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria vimepewa
muda wa wiki mbili na kutakiwa vijisajili mara moja kwenye Baraza hilo kabla ya
kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Vilevile, vibali vya usajili wa vyuo 112 vya kutoa elimu ya ufundi
vimefikia ukomo hivyo vinapaswa kutekeleza masharti ya Usajili; wakati vyuo 57 vimefikia ukomo wa ithibati, hivyo
inapaswa kutekeleza masharti ya ithibati, imetangazwa jana.
Akiongea katika mkutano na
waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Baraza (NACTE), Mhandisi Steven Mlote,
amesema Baraza limetoa muda wa mwezi mmoja kwa vyuo 112 kutekeleza masharti ya
usajili na vyuo 52 kutekeleza masharti ya ithibati kwa mujibu wa sheria za
uendeshaji vyuo vya ufundi nchini, na vyuo vitakavyoshindwa kutekeleza agizo
hili vitafungiwa mara moja.
Mhandisi Mlote pia alitoa onyo akisema
“vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria nimevipa
muda wa wiki mbili na navitaka vijisajili mara moja kwenye Baraza kabla ya
kuchukuliwa hatua kali za kisheria”.
Mhandisi Mlote alivitaja vyuo
vyote vyenye matatizo kama ifuatavyo:
Jedwali
I: Vyuo vya Ufundi Vilivyofutiwa Usajili
NA.
|
CHUO
|
State
College of Health and Allied Sciences - Dar es Salaam
|
|
Zoom
Polytechnic College - Dar es Salaam
|
|
Tabitha
College – Dar es Salaam (formerly: Thabita Vocational Training College - Dar
es Salaam)
|
|
Financial
Training Centre - Dar es Salaam
|
|
TMBI
College of Business and Finance - Dar es Salaam
|
Jedwali II: Vyuo ambavyo
Havijasajiliwa na vinavyoendesha Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA.
|
CHUO
|
1.
|
King
Solomoni College - Arusha
|
2.
|
Avocet
College of Hotel Management - Arusha
|
3.
|
Kewovac
Nursing Training Centre - Mbagala, Dar es Salaam
|
4.
|
St.
Family Health Training Institute - Mbagala, Dar es Salaam
|
5.
|
Bethesda
Montessori Teachers Training College - Arusha
|
6.
|
Green
Themi Teacher’s College & Green Themi Institute of Tourism
|
7.
|
Mainland
Institute of Professionals - Arusha
|
8.
|
St.
David College of Health - Dar es Salaam
|
9.
|
Islamic
Culture School - Dar es Salaam
|
10.
|
Tanzania
Education College - Dar es Salaam
|
11.
|
Macmillan
Training College - Dar es Salaam
|
12.
|
Tanzania
International University (TIU) - Dar es Salaam
|
13.
|
Dodoma
College of Business Management - Dodoma
|
14.
|
Faraja
Health and Emergencies - Mbeya
|
15.
|
St.
Joseph College - Mbeya
|
16.
|
St.
Peter Health Management - Mbeya
|
17.
|
Kapombe
Nursing School - Mbeya
|
18.
|
Uyole
Health Institute - Mbeya
|
19.
|
Josephine
Health Institute - Mbeya
|
20.
|
Institute
of Public Administration - Chake chake Pemba
|
21.
|
Dar es
Salaam College of Hotel and Business Studies - Vuga, Unguja, Zanzibar and
Chake Chake, Pemba, Zanzibar
|
22.
|
Zanzibar
Training Institute, the Professional College of Information Technology,
Languages and Business Studies - Mwera Meli Sita Unguja Zanzibar
|
23.
|
Azania
College of Management - Raha Leo, Zanzibar
|
24.
|
Time
School of Journalism - Chakechake, Pemba
|
25.
|
Residence
Professional College - Mombasa, Zanzibar
|
26.
|
Mkolani
Foundation Organisation - Mwanza
|
27.
|
Kahama
College of Health Sciences - Kahama
|
28.
|
Institute
of Adult Education-Mwanza Campus - Luchelele Site
|
29.
|
Zoom
Polytechnic - Bukoba
|
30.
|
Johrow
Star Training College - Shinyanga
|
31.
|
St.
Thomas Training College – Shinyanga
|
32.
|
Dar es
Salaam School of Journalism and Mass Communication DMSJ - Bukoba
|
33.
|
Dar es
Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ - Mwanza
|
34.
|
Dar es
Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ - Geita
|
35.
|
Dar es
Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ - Simiyu
|
36.
|
Harvest
Institute of Health Sciences - Mwanza
|
37.
|
Singin
International - Bukoba
|
38.
|
College
of Business Management - Mombasa, Zanzibar
|
39.
|
Tanzania
Star Teachers College - Chakechake, Pemba, Zanzibar
|
40.
|
Tanzania
Star Teachers College - Unguja, Zanzibar
|
41.
|
St.
Mary's International School of Business - Sumbawanga
|
Jedwali III: Vyuo Vilivyosajiliwa lakini
Vinatoa Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA.
|
CHUO
|
PROGRAMU
|
1.
|
AP and
Prime College of Business Studies - Dar es Salaam
|
Medical
Attendant
|
Nursing
Assistant
|
||
2.
|
Universal College of
Africa - Dar es Salaam
|
Banking
and Finance
|
Business
Administration
|
||
Clearing
and Forwarding
|
||
Airfares
|
||
Information
and Communication Technology
|
||
Nursing
|
||
Hotel
Management
|
||
Secretarial
Course
|
||
Procurement
and Supplies
|
||
3.
|
Professional
Skills Development International
(PSDI-CENTRE) Centre - Bagamoyo
|
Offering
Non-NTA programmes (Various Short Courses)
|
4.
|
Ruter
Institute of Financial Management - Mwanza
|
Accountancy
|
Procurement
and Supply
|
||
Banking
and Finance
|
||
ICT
|
||
5.
|
Mwanza
Polytechnic College - Maswa
|
Ordinary
Diploma in Early Childhood Education
|
6.
|
Royal
College of Tanzania - Dar es Salaam
|
Law
|
7.
|
Belvedere
Business and Technology College - Mwanza
|
Accountancy
|
8.
|
Chato
College of Health Sciences and Technology - Chato
|
Pharmacy
|
9
|
St.
Glory College of Health and Allied Sciences - Dar es Salaam
|
Medical
Attendant
|
10.
|
Zoom
Polytechnic College - Dar es Salaam
|
Computer
Science
|
11.
|
Zanzibar
Technology College - Zanzibar
|
Computer
Science
Business
Information System
|
Jendwali IV: Vyuo vyenye Hadhi ya Usajili
Iliyokwisha Muda wake
NA.
|
CHUO
|
Mteule
Training College - Morogoro
|
|
Favre
Language and Communication Institute - Dar es Salaam
|
|
Eagle Wings Training College - Dar-es-Salaam
|
|
The Sinon College - Dar es Salaam
|
|
Green Hill Institute (GHI) - Mbeya
|
|
Institute
of Business Management (IBM) - Morogoro
|
|
Modern
Commercial Institute (MCI) - Dar es Salaam
|
|
Evin
School of Management - Dar es Salaam
|
|
SAMFELIS
College of Business Studies - Dar es Salaam
|
|
Agape
College - Dar es Salaam
|
|
Belvedere
Business and Technology College - Mwanza
|
|
Dar es
Salaam Institute of Business Management - Dar es Salaam
|
|
Ellys
Institute of Technology - Bunda
|
|
Tanzania
Institute of Chartered Secretaries and Administrators (TICSA) - Arusha
|
|
Msakamali
Institute of Business Studies and Technology (MIBST) - Msata
|
|
Cum
Laude College - Njombe
|
|
Tarime
Institute of Business Management (formerly
Tarime Business Training Institute) - Tarime
|
|
Dar es
Salaam College of Hotel and Business Studies - Dar es Salaam
|
|
Institute
of Management and Development Studies - Iringa (Formerly: Sophist Tanzania
College - Iringa)
|
|
Greenbelt
Polytechnic College - Morogoro
|
|
Zanzibar
Institute of Journalism and Mass Communication (ZIJMC) - Zanzibar
|
|
Habari
Media Training Centre (HAMETC) - Dar es Salaam
|
|
City
Media College - Arusha
|
|
Arusha
East African Training Institute - Arusha
|
|
AP
and Prime College of Business Studies – Dar es Salaam
|
|
DayStar
Training College - Dar es Salaam
|
|
Emmanuel
Community College - Kibaha
|
|
Victoria Institute of Tourism and Hotel
Management - Mwanza
|
|
Zanzibar
Professional Training Institute (ZPTI) - Zanzibar
|
|
Rungwe
International College of Business and Entrepreneurship - Mbeya
|
|
Mbengwenya College of Business and Information
Technology - Mbinga
|
|
Musoma Utalii College - Shinyanga
|
|
Dar
es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication (DIJMC) - Dar es
Salaam
|
|
Ubuntu Institute of Social Justice (UISJ) - Mwanza
|
|
Institute
of Skills Development (ISD) - Morogoro formerly:
RK Institute of Innovations (RKII) - Morogoro)
|
|
Mbeya
Training College (MTC) - Mbeya
|
|
Media
and Values Training Institute (MEVATI) - Dar es Salaam
|
|
Marian
College of Law (MCL) - Dar es Salaam
|
|
PCTL
Training Institute (PTI) - Dar es Salaam
|
|
KAPS
Community Development Institute - Mafinga, Iringa
|
|
41 |
Professional
Skills Development International
(PSDI-CENTRE) Centre - Bagamoyo
|
42 |
East
African Institute of Entrepreneurship and Financial Management (EAIEFM) -
Arusha
|
43 |
New
Focus College - Mbeya
|
44
|
Northern
Peaks Business College (NPBC) - Arusha
|
45 |
Mbalizi
Polytechnic College - Mbeya
|
46 |
Genesis
School of Information Technology and Journalism - Dar es Salaam
|
47.
|
Kiteto School of
Nursing - Kibaya
|
48.
|
Kunduchi Nursing
School – Dar es Salaam
|
49.
|
Wisdom Medical
laboratory Training and Research Centre - Dodoma
|
50.
|
Global
Community College - Geita
|
51.
|
KCMC School of
Assistant Medical Officers (Radiology) - Moshi
|
52.
|
School of
Physiotherapy - Moshi
|
53.
|
Advanced Paediatric
Nursing School - Moshi
|
54.
|
KCMC Assistant Medical
Officers’ Ophthalmology School - Moshi
|
55.
|
Advanced Ophthalmic Nursing School - Moshi
|
56.
|
Nicodemus
Hhando School of Health Sciences - Manyara
|
57.
|
Litembo
Health Laboratory Sciences School - Mbinga
|
58.
|
Rukwa College of
Health Sciences - Sumbawanga
|
59.
|
Clinical Officers’
Training Centre - Songea
|
60.
|
Clinical
Officers’ Training Centre - Sumbawanga
|
61.
|
Isimila Nursing School
- Iringa
|
62.
|
St. Peters Health Training Institute - Iringa
|
63.
|
CAGETI Polytechnic College - Mafinga
|
64.
|
Makambako
Institute of Health Sciences - Makambako
|
65.
|
Mbozi School of
Nursing - Mbeya
|
66.
|
Biharamulo
Health Sciences Training College - Kagera
|
67.
|
St.
Bernard Health Training Institute - Katoro, Geita
|
68.
|
Karagwe
College of Medical Laboratory and Allied Sciences - Karagwe
|
69.
|
Geita
Medical Laboratory and Nursing Training College - Geita
|
70.
|
Royona
College of Health and Allied Sciences - Mwanza
|
71.
|
Assistant Medical
Officers’ Training Centre - Bugando
|
72.
|
GISAN Health Training
Institute - Mwanza
|
73.
|
St. Maximilliancolbe Health College - Tabora
|
74.
|
Sr.
Dr. Thekla Nyangao School of Nursing - Lindi
|
75.
|
Karatu Health Training
Institute - Arusha
|
76.
|
St.
Peter’s College of Health Science – Dar es Salaam
|
77.
|
St. Gaspar Nursing
School - Singida
|
78.
|
City
College of Health and Allied Sciences - Dar es Salaam
|
79.
|
Sumve School of
Nursing - Kwimba
|
80.
|
Pamoja College of
Agriculture and Livestock - Babati
|
81.
|
Regional
Aviation College - Dar es Salaam
|
82.
|
Institute
of Management and Information Technology - Dar es Salaam
|
83.
|
Institute
for Environment and Development Sustainability - Dar es Salaam
|
84.
|
Fire and
Rescue Training Centre - Dar es Salaam
|
85.
|
TPDF IT Centre - Dar es Salaam
|
86.
|
Zanzibar
Technology College - Zanzibar
|
87.
|
Modern
Polytechnic - Zanzibar
|
88.
|
Community Resources Development Organisation
Training Institute - Mwanza
|
89.
|
Muleba Lutheran Vocational Training Centre -
Muleba
|
90.
|
Ministry
of Agriculture Training Institute Maruku -Bukoba
|
91.
|
Mwangaria
Institute of Agriculture and Livestock - Moshi
|
92.
|
Simanjiro
Animal Husbandry Vocational Training Centre - Arusha
|
93.
|
MATI
IGURUSI - Mbeya
|
94.
|
Kilimanjaro Agricultural Training Centre - Moshi
|
95.
|
LITA Buhuri - Tanga
|
96.
|
Forest Industries Training Institute (FITI) -
Moshi-
|
97.
|
Arusha Institute of Technology - Arusha
|
98.
|
MATI Mtwara - Mtwara
|
99.
|
National Meteorological Training Centre - Kigoma
|
100.
|
Visele Live-crop Skills Training Centre - Mpwapwa
|
101.
|
Mt. Maria Goretti College of Agriculture -
Mazombe, Kilolo
|
102.
|
Institute of Lands – Dar es Salaam
|
103.
|
Horticulture Research and Training Institute
(HORTI) – Tengeru, Arusha
|
104.
|
VETA Kipawa Information and Communication
Technology – Dar es Salaam
|
105.
|
Gataraye Research and Training Centre – Dar es
Salaam
|
106.
|
Nyerere
Road Teacher’s College - Singida
|
107.
|
Bugingo
Teachers College - Pwani
|
108.
|
Majority
Teacher’s College - Mbeya
|
109.
|
MAM
Institute of Education - Mbeya
|
110.
|
Victoria
Unique College - Mwanza
|
111.
|
Mwanza
Polytechnic Institute - Mwanza
|
112.
|
Zanzibar
Education College - Zanzibar
|
Jedwali
V: Vyuo vyenye Hadhi ya Ithibati Iliyokwisha Muda wake
NA.
|
CHUO
|
1.
|
Gender
Training Institute (GTI) - Dar es
Salaam
|
2.
|
DINOBB
Institute of Sciences and Business Technology -Ipinda, Mbeya
|
3.
|
Royal
College of Tanzania (formerly: Royal
College of Journalism - Dar es Salaam)
|
4.
|
Morogoro
School of Journalism (MSJ) - Morogoro
|
5.
|
Dar-es-Salaam
School of Journalism (DSJ) - Dar es Salaam
|
6.
|
Shukrani
International College of Business Management and Administration - Mbeya
|
7.
|
Dar-es-Salaam
City College (DACICO) - Dar es Salaam
|
8.
|
Institute
of Continuing and Professional Studies – Zanzibar
|
9.
|
Korogwe
School of Nursing - Korogwe
|
10.
|
Dental Therapists
Training Centre - Tanga
|
11.
|
Dental Therapists
Training Centre - Mbeya
|
12.
|
Assistant Medical
Officers’ Training Centre - Tanga
|
13.
|
Assistant Medical
Officers’ Training Centre - Mbeya
|
14.
|
School of Dental
Therapy - Mbeya
|
15.
|
Njombe School of
Nursing - Njombe
|
16.
|
Clinical Officers’
Training Centre - Mafinga
|
17.
|
Kibaha Clinical
Officers’ Training Centre – Coast Region
|
18.
|
Mkomaindo
School of Nursing - Masasi
|
19.
|
Tosamaganga
School of Nursing - Iringa
|
20.
|
Newala
School of Nursing - Mtwara
|
21.
|
Mbulu
School of Nursing - Manyara
|
22.
|
Lindi
Clinical Officers’ Training Centre - Lindi
|
23.
|
Maswa
Clinical Officers’ Training Centre - Shinyanga
|
24.
|
KCMC
School of Physiotherapy - Moshi
|
25.
|
KCMC
School of Advanced Paediatric Nursing - Moshi
|
26.
|
KCMC AMO Anaesthesia School - Moshi
|
27.
|
Geita School of
Nursing - Geita
|
28.
|
Muhimbili
School of Midwifery - Dar es Salaam
|
29.
|
Sengerema
Health Training Institute - Sengerema
|
30.
|
KAM
College of Health Sciences - Dar-es-Salaam
|
31.
|
Kilimatinde Nurses and Midwives Training School -
Manyoni
|
32.
|
Kiomboi Nurses and Midwives Training School -
Iramba
|
33.
|
Royal Training Institute - Dar-es-Salaam
|
34.
|
Heri School of Nursing - Kigoma
|
35.
|
College of Health Sciences Zanzibar - Zanzibar
|
36.
|
Clinical
Officers’ Training Centre - Musoma
|
37.
|
Kagemu
School of Environmental Health Sciences - Bukoba
|
38.
|
Bugando School of
Nursing - Mwanza
|
39.
|
Ngudu School of Environmental Health Sciences -
Kwimba
|
40.
|
Lugalo Military
Medical School - Dar-es-Salaam
|
41.
|
Lugarawa School of
Nursing - Ludewa
|
42.
|
Mvumi Institute of
Health Sciences - Dodoma
|
43.
|
Masasi Clinical Assistants Training Centre -
Masasi
|
44.
|
Ndanda Nursing School - Masasi
|
45.
|
Massana College of Nursing - Dar-es-Salaam
|
46.
|
Machame Health Training Institute - Kilimanjaro
|
47.
|
Vector
Control Training Centre - Muheza
|
48.
|
Operating Theatre Management
School - Mbeya
|
49.
|
Tarime School of
Nursing - Tarime
|
50.
|
Bandari College – Dar es Salaam
|
51.
|
Civil
Aviation Training Centre - Dar es Salaam
|
52.
|
Institute
of Wildlife Management Pasiansi - Mwanza
|
Imetolewa na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU
YA UFUNDI (NACTE)
TAREHE: 3 AGOSTI 2016
No comments