Header Ads

BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI AMTEUA PHILIP MPANGO KUKAIMU NAFASI YA KAMISHINA MKUU WA TRA

Rais John Pombe Magufuli Amteua Bw.Philiph Mpango kukaimu nafasi ya Kamishina Mkuu wa TRA.

Taarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa rais Magufuli umefuatia ziara ya waziri mkuu bandarini uliobaini upotevu wa makontena 349.

Aidha rais Magufuli amemtaka Rished Bade kutoa ushirikiano kwa Philiph Mpango wakati uchunguzi ukiendelea.

No comments

Powered by Blogger.