Header Ads

Mh. Lowassa aendelea kuvunja rekodi, Maelfu ya wakazi wa Nzega wahudhuria mkutano wake...

Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, jana  Septemba 6, 2015.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alieambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, tayari kwa Mkutano wa Kampeni,  Septemba 6, 2015.

Baadhi ya wananchi wa Mji wa Nzega, Mkoani Tabora wakimshangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, janaSeptemba 6, 2015

Mgombea wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula akizungumza na wananchi wake kabla ya kupigiwa kura ya wazi iliyompitisha kuwania nafasi hiyo na kumtupa nje Mwezake wa Chama cha CUF, Mezza Leonard (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, jana Septemba 6, 2015.
Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, wakati akinadi sera zake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, jana Septemba 6, 2015.
Umati wa wananchi wa Nzega, wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega,  Septemba 6, 2015.
 

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega,  Septemba 6, 2015.

No comments

Powered by Blogger.