Header Ads

Lowassa aamishia Gharika Arusha baada ya kutoka Mbeya...Watu wajitokeza kwa kiasi kikubwa kumkaribisha

 
 
 
 
 
 
 
 
LOWASSA Ahamishia Mafuriko Jijini Arusha..Hapa Nimekuwekea Picha Kadhaa Uone Jinsi Mambo yalivyokuwa....EDWARD LOWASSA aiteka kaskazini
Mamilion ya watu wamlaki, viongozi wa CCM Kilimanjaro na Arusha waitosa CCM na kujiunga CHADEMA.
Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani Laurence Masha ajisalimisha CHADEMA kabla ya ujio wa LOWASSA huko MWANZA.
UKAWA KIMEELEWEKA!

No comments

Powered by Blogger.