Header Ads

Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe watangaza kuhama CCM na kujiunga na chadema Leo

Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA /CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni

No comments

Powered by Blogger.