Ladies!!!! Hii ni lazima kuisoma mdau
LADIES: Mpenzi wako kakuita uhende kwao ukawaone wazazi wake, bila wasi tena kwa furaha unaenda mbiooo ile kufika tu, Unaikuta familia yote inakusubiri wewe, kuangalia viuzri kaka mtu ni mpenzi wako wa zamani, dada mtu mmeshawahi kupigana naye kisa tu kumgombea bwana, mama mtu ni naesi ambaye aliwahi kukusihii usitoe mimba ila ukatoa kwa lazima. Na mwisho kabisa baba mtu ndiye huyooo sugar daddy wako aliyekununulia hiyo Samsung galaxy S4. JE UTAFANYEJE?
No comments