Miss Tanzania 2014,hana maka 18 kutokana na maelezo yaliyopakikana katika paspoti yake

Katibu huyo aliongeza kuwa Sitti ana Shahada ya Uhusiano wa Kimataifa na alimaliza masomo yake Desemba mwaka jana katika Chuo Kikuu cha North Texas kilichoko kwenye jiji la Dallas nchini Marekani.
Sitti Mtemvu bado hajasoma ngazi ya Shahada ya Uzamili (Masters) kwa sasa ila anatarajiwa kwenda kusoma ngazi hiyo huko nchini Marekani.
No comments