Angalia picha ya mjumbe wa bunge maalum la katiba akicheza jana Bungeni Dodoma
Mjumbe
wa Bunge Maalumu la Katiba, Deo Sanga akisakata muziki katikati ya
Ukumbi wa Bunge hilo baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura zilizopigwa
kupitisha Rasimu ya Mwisho ya Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma jana.

No comments