Everton waipiga Arsenal 3-0...
Everton wakiwa kwao Goodison Park leo waifunga timu ya Arsenal bao 3-0. Bao la kwanza lilifungwa na Steven Naismith katika dakika ya 14, Bao la pili likifungwa na Romelu Lukaku katika dakika ya 34 baada ya kufanya bidii na kukatiza mbele ya mabeki wa Arsenal na kuachia shuti kali. Kwa sasa ni mapumziko Everton wanaongoza bao 2-0.
Steven Naismith wa Everton akimfunga kipa wa Arsenal bao la kwanza katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza.Steven Naismith akishangilia.Steven Naismith akipongezwa na Lukaku na Mirallas.Mchezaji wa Everton Leighton Bainesakichuana na mchezaji wa Arsenal Bacary Sagna Bao la pili likifungwa na Lukaku.
Dakika ya 62 kipindi cha pili Arsenal wnajifunga bao kupitia kwa Mikel ArtetaKipigo hiki kimeifanya Arsenal ibakie Nafasi ya 4 ikiwa imecheza Mechi 33 na ina Pointi 64 lakini ushindi kwa Everton, ambao wako Nafasi ya 5, umewafanya waikaribie mno Arsenal na wao sasa wamecheza Mechi 32 na wana Pointi 63.

Lukaku na Kocha wake wakifurahia ushindi..katika kipindi cha kwanza.Lukaku akifanya mambo yake.
Kikosi cha Everton: Howard, Baines, Distin, Stones, Coleman, McCarthy, Barry, Osman, Naismith, Mirallas, Lukaku.
Subs: Robles, Hibbert, McGeady, Deulofeu, Barkley, Garbutt, Alcaraz.
Kikosi cha Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Arteta, Flamini, Rosicky, Cazorla, Podolski, Giroud
Subs: Viviano, Jenkinson, Bellerin, Kallstrom, Oxlade-Chamberlain, Ramsey, Sanogo.
No comments