Baada sheria inayoruhusu ndoa za jinsia moja kupitishwa Uingereza,haya ndo yaliyojiri.......Soma hapa
Baada ya sheria inayoruhusu ndoa za jinsia moja kupitishwa Uingereza na Wales, usiku wa kuamkia tarehe 29/3/2014 tayari ndoa tatu zimefanyika na mapema leo asubuhi. David Cameron ametia saini sheria hio kuonyesha watu wote wako sawa “Haijalishi shoga au sio shoga”
Scotland walipitisha sheria hio February na ndio hizo zitaanza October. Northern Ireland hawana mpango wakufata nyayo hizo, Jumamosi iliyopita Mr Cameron aliandika twitter “Congratulations to the gay couples who have already been married – and my best wishes to those about to be on this historic day.”
No comments