Angalia muonekano wa Snura katika maandalizi ya video yake mpya 'Ushaharibu'
Juzi tarehe 27 February ilikuwa ni siku rasmi ya msaniii wa muziki wa kizazi kipya, Snura aka Mama wa Majanga kuanza kushoot vipande vya video ya wimbo wake mpya unaoitwa Ushaharibu, miongoni mwa vipande vitakavyoonekana ni hivi ambavyo vimefanyika nje ya kidogo ya Dar es salaam. Video hii inatengenezwa na Next Level chini ya Director Adam Juma, hizi ni baadhi ya picha zitakazoonekana kwenye video hiyo. Ikiwa imesimamiwa na Manager wake Hyperman HK.
No comments