Sehemu ya nyumba ya Ndugu Aden Mwambugu ambamo Ndugu Honest Shoo alikuwa amepanga ikiwa imeteketea kabisa.
Mjomba wa Marehemu akiwa amebeba mwili wa mtoto Clara Honest ambae ana umri wa miezi mitatu mwili wa mtoto huyo umeteketea kwa moto
Chumba ulimokutwa Mwili wa marehemu Clara Honest
Polisi wakiondoka na mwili wa mtoto huyo
Mwenyekiti wa mtaa wa Block T Ndugu Majembe akimwongoza Honest Shoo ambaye ni mfanyakazi wa Bank ya Posta kitengo cha masoko (mwenye shati nyeupe) kwenda kutoa maelezo kwa polisi waliofika katika tukio.
Mama mzazi wa mtoto Crala akilia kwa uchungu kulia ni binti wa kazi
No comments