Angalia picha za kiumbe wa ajabu, Nusu binadamu, nusu sungura aliyeoneka Haiti..... soma zaidi hapa
Kiumbe huyu amegundulika huko katika mlima wa Haiti- Hispania akiwa nusu binadamu na nusu sungura kitu ambacho kimepelekea watu wasehemu hiyo kujiuliza maswali mengi ambayo hata ingekuwa wewe pia ungejiuliza hivyo.
Maswali hayo ni kama ifuatavyo?
Taswira kwa watu wa Haiti nikwamba walifanya vitu vibaya kwa Sungura?
je kwanin aonekane kama mtoto mchanga aliyezaliwa?
je ingekuwa ni wewe ungefikiria nini?
je kwanin aonekane kama mtoto mchanga aliyezaliwa?
je ingekuwa ni wewe ungefikiria nini?
No comments